Posts

Showing posts from August, 2024

KAMA UNASAHAU MARA KWA MARA, SOMA HAPA KWANZA.

Image
  KAMA UNASAHAU MARA KWA MARA, SOMA HAPA KWANZA. Boss! Siyo  kila mara, kusahau ni ishara ya Ubongo dhaifu, mara nyingi ni namna tunavyojifunza ndugu. Nimekutana na watu wengi wakisema: "Mimi sina akili kubwa." Wengine "Kumbukumbu yangu ni mbaya." Mara "Ubongo wangu hauhifadhi vitu." Lakini ukweli ni kwamba, mara nyingi tatizo si ukubwa wa akili yako wala uwezo wa ubongo wako. Tatizo ni kwamba watu wengi hawajawahi kufundishwa jinsi kumbukumbu (memory) inavyofanya kazi boss. Sikia ndugu; Ubongo wa binadamu umeumbwa kwa ustadi mkubwa. Kazi yake si kuhifadhi kila kitu unachokiona au kukisikia, bali ni kuchagua filtering taarifa muhimu na kuacha zisizo muhimu wala matumizi. Kwa hiyo, kusahau si kasoro ya ubongo ni sehemu ya kawaida ya jinsi unavyofanya kazi. Hebu tuangalie sababu kuu zinazowafanya watu kusahau mara kwa mara. 1. Kukariri Bila Kuelewa (memorising without understanding). Hili ndilo kosa kubwa zaidi ambalo wanafunzi na hata watu wazima...

PANDE ZA MAFANIKIO

Image
  PANDE ZA MAFANIKIO Mara nyingi MAFANIKIO huwa ni hitaji la Kila mtu. Na hii huwa imebeba sehemu mbili muhimu. 1. SEHEMU YA KWANZA NI UPANDE WA MBELE( FRONT PART). Sehemu hii huonyesha  jambo hili kuwa ni zuri na ni jambo la kutamanika, kufurahiwa, na mengine kama hayo. Huu unaonekana kwa macho ya nyama. Na watu hujua na kutoa sifa kemukemu. Na huonekana  huleta hamasa, furaha, umaarufu, uhuru, heshima n.k Siku zote watu waliofanikiwa na mafanikio yenyewe huonekana ni easy sana. Na watu hulielezea Kwa urahisi naMSINGI WA NPGUVU YA MAFANIKIO. wa hali ya juu sana.  Utasikia alienda secondary, akaenda chuo akawa bilionea, mara utasikia alianzisha biashara saivi ni mkurugenzi, alikuwa masikini akapewa mtaji saivi ni milionea. Hapa mifano ni mingi sana. 2. SEHEMU YA PILI NI UPANDE WA NYUMA (BACK PART). Upande huu mara nyingi hauonekani haraka. Watu wengi husahau kabisa kuuangalia na kuusemea. Yaani chini ya kapeti namaanisha nyuma ya mafanikio... Rafiki hii ni sehemu ya ...

Popular posts from this blog