Posts

Showing posts from June, 2026

INUKA TENA

Image
  INUKA TENA Siku zote maisha siyo safari ya watu wasiopata changamoto. Ni safari ya watu wanaoanguka, wanajifunza, na kuinuka tena kwa nguvu zaidi boss. Watu wengi hudhani mafanikio ni safari ya moja kwa moja the straight line ambapo: unafanya vizuri kila wakati, hakuna kushindwa, hakuna maumivu. Lakini ukweli ni kwamba, kila mtu aliyefanikiwa amewahi kuanguka mara nyingi zaidi kuliko unavyofikiri boss. Tofauti yao na wengine si kwamba hawaanguki, noo, bali ni kwamba waliinuka tena baada ya kuanguka. BOSS, KUANGUKA SI MWISHO WA SAFARI. Kuanguka ni sehemu ndogo tu ya ukuaji. Kwasababu Unaposhindwa: unajifunza kitu kipya, unagundua makosa yako, unaelewa njia iliyo bora zaidi. na unapata uzoefu ambao hauwezi kufundishwa darasani ndugu yangu. Tatizo la watu wengi hufanya kosa moja kubwa: yaani,  wanaona kuanguka kama mwisho wa safari yao, mara wao ni wakushindwa tu. Wao si lolote. Hapo ndipo ndoto nyingi hufa kabla hazijakomaa kabisa ndugu. Sikiliza boss, Kuanguka haku...

UKITAKA KUFIKA MBALI MAISHANI FANYA HILI.

Image
  UKITAKA KUFIKA MBALI MAISHANI FANYA HILI. Watu wengi wana ndoto kubwa, maono makubwa, na malengo makubwa. Lakini kuna kosa moja ambalo wengi hulifanya kuamini kwamba wanaweza kufanikisha kila kitu peke yao. Hapa ndo penye shida boss. Ni kweli, unaweza kuanza peke yako sikatai. Ndiyo tena unaweza kusonga mbele peke yako. Lakini kumbuka kunawakati unaweza choka, kata tamaa, kuvunjika moyo n.k. Lakini na kufika mbali sana mara nyingi kunahitaji nguvu za pamoja boss. Kuna msemo maarufu wa Kiafrika unaosema: "Ukitaka kwenda haraka, nenda peke yako. Ukitaka kwenda mbali, nenda na wenzako." (If you want to go fast, go alone. If you want to go far, go together with people.) Huu si msemo wa kawaida tu. Ni kanuni muhimu ya mafanikio katika maisha, biashara, uongozi, na maendeleo binafsi. Ukimaanisha kuwa kama ukitaka kwenda haraka nenda peke yako na kama ukitaka kwenda mbali nenda pamoja na watu. Hapa ni sawa na kusema. KIDOLE KIMOJA HAKIVUNJI CHAWA Wahenga walituachia hekima...

WATU WENYE HESHIMA YA KWELI HUFANYA MAMBO HAYA 10.

Image
  WATU WENYE HESHIMA YA KWELI HUFANYA MAMBO HAYA 10. Mara nyingi watu hupima mafanikio kwa fedha, elimu, cheo au umaarufu. Lakini ukweli ni kwamba, mojawapo ya vitu vinavyomtofautisha mtu mwenye busara na mwenye hekima ni namna anavyowatendea watu wengine boss. Kwasababu tabia nzuri hazihitaji utajiri. Hazihitaji cheti. Hazihitaji nafasi kubwa katika jamii. Zinahitaji ufahamu, heshima, nidhamu na utu boss. Haya ni baadhi ya mambo madogo ambayo yanaweza kujenga au kuharibu taswira yako mbele ya watu. Yaani, mambo madogo yanayofichua ukomavu wako kwa watu na jamii. 11. MSIFIE MTU HADHARANI, MPINGE FARAGHANI. Ukiona mtu amefanya jambo zuri, msifie mbele ya watu moja kwa moja hata kama akiwa pekee yake siyo mbaya. Lakini unapohitaji kurekebisha kosa lake, fanya hivyo faraghani. Kumkosoa mtu hadharani mara nyingi huumiza heshima yake, humpa aibu na kumfanya awe na msimamo wa kujitetea badala ya kujifunza. Watu wengi husahau maneno uliyosema, lakini hawasahau aibu na jinsi ulivyo...

MALENGO 6 YA ELIMU YANAYOWEZA KUBADILISHA MAISHA YAKO KABISA.

Image
  MALENGO 6 YA ELIMU YANAYOWEZA KUBADILISHA MAISHA YAKO KABISA. Watu wengi wanaposikia neno elimu, jambo la kwanza linalokuja akilini ni: shule, mitihani, vyeti, Pesa au ajira. Asilimia kubwa jamii yetu inaamini sana katika ajira, kwamba ukiwa msomi/ mwenye elimu huku hujaajiriwa unaonekana si lolote wala chochote. Lakini ukweli ni kwamba elimu ni kubwa zaidi ya hayo. Boss, elimu siyo tu kukariri taarifa darasani au kupata alama nzuri kwenye mtihani ndugu yangu. In short boss, Elimu si karatasi ya cheti tu, bali ni mchakato wa kumjenga mwanadamu kamili. Hapa namaanisha kuwa, Elimu ya kweli ni mchakato wa kumjenga mtu kiakili, kiuchumi, kijamii, kiutamaduni na kimaadili ili aweze kuishi maisha yenye maana na mchango kwa jamii. Kwa kifupi boss, elimu inapaswa kumbadilisha mtu kutoka alivyo leo na kumpeleka katika kiwango bora zaidi cha maisha yake na yawatu wanaomzunguka. Kitu hiki ndo kimenisukuma leo tuangalie malengo makuu sita ya elimu kwa mtu husika boss. 1. KUKUZA AKIL...

Popular posts from this blog

UKIJUA HILI KUHUSU WATU UTAFANIKIWA SANA.

UCHAMBUZI WA KINA HATIMA YA KIMUNGU SEHEMU YA 27.

UCHAMBUZI WA KINA HATIMA YA KIMUNGU SEHEMU YA 29