Posts

KAMA UNASAHAU MARA KWA MARA, SOMA HAPA KWANZA.

Image
  KAMA UNASAHAU MARA KWA MARA, SOMA HAPA KWANZA. Boss! Siyo  kila mara, kusahau ni ishara ya Ubongo dhaifu, mara nyingi ni namna tunavyojifunza ndugu. Nimekutana na watu wengi wakisema: "Mimi sina akili kubwa." Wengine "Kumbukumbu yangu ni mbaya." Mara "Ubongo wangu hauhifadhi vitu." Lakini ukweli ni kwamba, mara nyingi tatizo si ukubwa wa akili yako wala uwezo wa ubongo wako. Tatizo ni kwamba watu wengi hawajawahi kufundishwa jinsi kumbukumbu (memory) inavyofanya kazi boss. Sikia ndugu; Ubongo wa binadamu umeumbwa kwa ustadi mkubwa. Kazi yake si kuhifadhi kila kitu unachokiona au kukisikia, bali ni kuchagua filtering taarifa muhimu na kuacha zisizo muhimu wala matumizi. Kwa hiyo, kusahau si kasoro ya ubongo ni sehemu ya kawaida ya jinsi unavyofanya kazi. Hebu tuangalie sababu kuu zinazowafanya watu kusahau mara kwa mara. 1. Kukariri Bila Kuelewa (memorising without understanding). Hili ndilo kosa kubwa zaidi ambalo wanafunzi na hata watu wazima...

JIFUNZE KUJIFUNZA PART V

Image
  JIFUNZE KUJIFUNZA PART V SIFA NA SHERIA ZA AKILI YA MWANADAMU KATIKA KUJIFUNZA. Hallo uhali gani ndugu msomaji! Ni matumaini yangu kuwa unaendelea vyema vinginevyo Mungu akusaidie sana. Nikukaribishe tena katika mfululizo wa somo letu pendwa la JIFUNZE KUJIFUNZA na leo tupo katika (part/sehemu) ya tano. Somo hili watu wengi wamekubali kuwa ni ufunguo tosha wa akili na maisha yao kwa ujumla. Hivyo ni muhimu sana, kwako kujumuika nasi ili kujifunza pamoja nikukaribishe sana. Kama umefuatilia somo hili tumezungumza mengi sana juu ya namna gani akili ya binadamu inavyofanya kazi, mugawanyo wa akili ya binadamu katika utendaji kazi wake, namna gani unaweza kuuamuru ubongo wako na namna nzuri ya kupandikiza tabiia au sifa yeyote kwenye ubongo wako   na mengine kibao. Kama hujasoma huko nyuma ni wazi kuwa umekosa mengi, lakini habari njema ni kwamba unaweza kufuatilia somo hili toka mwanzo kupitia linki hapa chini. kusoma part iv bonyeza hapa Sasa leo nahitaji tupige hatua...

SIMULIZI YA KUFURAHISHA, “KUHUSU HATIMA YA KIMUNGU”. SEHEMU YA KUMI NA MBILI.

Image
  SIMULIZI YA KUFURAHISHA,   “KUHUSU HATIMA YA KIMUNGU”. SEHEMU YA KUMI NA MBILI.   "Mmh! Mbona amekata tena simu huyu au anabip? Ngoja nimpigie" Elvine alianza kutabasamu huku maneno yaliyokuwa yameandikwa kwenye ile barua ya baba yake yakijirudia kichwani mwake.     "ila kama ningekuwa mimi basi ningekushauri kuwa yule binti Elimina anaweza kuwa mke mzuri sana kwako, maana anaonekana kuwa na heshima sana na mwanzo nilipokuona naye nilizani unamalengo naye. " kama hujasoma sehemu ya kumi na moja bonyeza hapa       Alipiga simu lakini haikupokelewa. Akajaribu mara kadhaa lakini haikupokelewa. Aliamua kutuma meseji lakini nazo hazikujibiwa. Baadaye alipopiga tena simu haikuwa inapatikana. Aliumia sana amani ikapotea tena.     "Huyu binti anashida gani? Si amepiga hapa jaman i ? Mbona hapokei simu yangu?"      Alijiuliza maswali mengi lakini hakupata majibu. Aliamua kulala pale hotelini mpaka jioni....

SIMULIZI YA KUFURAHISHA, “KUHUSU HATIMA YA KIMUNGU”. SEHEMU YA KUMI NA MOJA.

Image
   SIMULIZI YA KUFURAHISHA,   “KUHUSU HATIMA YA KIMUNGU”. SEHEMU YA KUMI NA MOJA.   Ilipoishia....           Wakiwa pale ghafla mlango ulifunguliwa na aliyeingia alikuwa ni Emiliano. Editrin hakutarajia kwasababu Emiliano siku hiyo hakuja na gari  k ama siku zote hivyo walijisahau. Na pia walinzi hawakumzuia Emiliano kuingia kwakuwa walikuwa wakijua kuwa Emiliano ni mkwe wa ile familia na hawakuambiwa chochote kuhusu kutoroka kwa Editrin kwa mume wake.           "Editrin mke wangu" Emiliano aliita na wakati Editrin kashangaa pale. Emiliano akimkimbilia na kumkumbatia. Huku alionesha kufurahi sana kumuona Kupata sehemu ya kumi bofya hapa         Inaendelea......        "Editrin nisamehe kwa kila kitu lakini kumbuka kuwa mimi bado ni mumeo huwezi kunitelekeza kama hivi nakuomba sana nipo chini ya miguu yako rudi nyumbani" Emiliano aliongea huku a...

Popular posts from this blog

UKIJUA HILI KUHUSU WATU UTAFANIKIWA SANA.

LEVEL ZA MAFANIKIO SEHEMU YA KWANZA.

MISINGI YA UWEKEZAJI SEHEMU YA PILI..