KAMA UNASAHAU MARA KWA MARA, SOMA HAPA KWANZA.

Image
  KAMA UNASAHAU MARA KWA MARA, SOMA HAPA KWANZA. Boss! Siyo  kila mara, kusahau ni ishara ya Ubongo dhaifu, mara nyingi ni namna tunavyojifunza ndugu. Nimekutana na watu wengi wakisema: "Mimi sina akili kubwa." Wengine "Kumbukumbu yangu ni mbaya." Mara "Ubongo wangu hauhifadhi vitu." Lakini ukweli ni kwamba, mara nyingi tatizo si ukubwa wa akili yako wala uwezo wa ubongo wako. Tatizo ni kwamba watu wengi hawajawahi kufundishwa jinsi kumbukumbu (memory) inavyofanya kazi boss. Sikia ndugu; Ubongo wa binadamu umeumbwa kwa ustadi mkubwa. Kazi yake si kuhifadhi kila kitu unachokiona au kukisikia, bali ni kuchagua filtering taarifa muhimu na kuacha zisizo muhimu wala matumizi. Kwa hiyo, kusahau si kasoro ya ubongo ni sehemu ya kawaida ya jinsi unavyofanya kazi. Hebu tuangalie sababu kuu zinazowafanya watu kusahau mara kwa mara. 1. Kukariri Bila Kuelewa (memorising without understanding). Hili ndilo kosa kubwa zaidi ambalo wanafunzi na hata watu wazima...

UCHAMBUZI WA KINA HATIMA YA KIMUNGU SEHEMU YA 28

 JACQUELINE JOHN & MWL MIGONGO ELIAS,Kwanza nichukue fursa hii kumshukuru Mungu ALIYE ziumba mbingu na Dunia Kwa kweli nimefurahi mno na tena mno Kwa makala yenu ya simulizi/ Hadithi Nzuri inayo conquer MOYO wangu hivyo πŸ‘πŸ‘

πŸ‘‡ I love it♥️

Nimeisoma yote uliyonitumia, hii sehemu ya 28 ya "Hatima ya Kimungu" inabeba hatua kubwa ya hadithi na kuunganisha matukio ya kiroho na uhalisia kwa nguvu sana.

Kwa ufupi, hapa kuna mambo yafuatayo yakupasa kujua ndani ya Hadithi hii 


The points I have presented down a vivid picture and rich imagery for deep reflection, guiding the reader toward discernment and the pursuit of greater excellence. In this section of the narrative, I have endeavored to analyze, as thoroughly as I can, to illuminate what you are doing have done within your story.

1. Mateso ya Elimina na nguvu ya maombi

• Elimina anaachwa na Edgar kwenye hali ya uchungu wa uzazi, milango imefungwa, hana msaada.

• Anakumbwa na mwanga usoni, unaompa nguvu za kiroho kuomba kwa bidii kwa ajili ya Elvine.

• Maombi yake yanataja ushindi dhidi ya maadui wa kiroho na msamaha kwa mume wake.

2. Uzazi wa kishujaa na athari za kiroho

• Baada ya kujizatiti mwenyewe, anajifungua bila msaada—kitendo cha ujasiri mkubwa.

• Sauti ya kulia kwa mtoto inavuruga nguvu zote za giza, kusababisha maangamizi ya wachawi, mapepo, na kiongozi wao Erijini.

• Uumbaji wa maisha mapya unakuwa silaha ya kiroho isiyo na kifani.

3. Ukombozi na onyo kwa Elvine

• Elvine anakutana na malaika Elvila, anapewa nafasi ya pili lakini anaonywa pigo linakuja kwa sababu ya kosa la kumsaliti Mungu na mke wake.

• Anaambiwa ufunguo wa maisha yake mpya ni mtoto wake.

• Anarudi nyumbani kwa shauku, lakini anakuta damu nyingi na Elimina akiwa amepoteza fahamu huku amemshika mtoto.

4. Mwisho wa sehemu – Cliffhanger

• Elvine anapaniki, hajui afanye nini, msomaji anaachwa akitaka kujua hali ya Elimina na hatua ya Elvine.

Kibunifu, sehemu hii:

• Inatengeneza mgongano wa kihisia (hofu, furaha, toba).

• Inajenga msisimko wa kiroho kupitia picha kali za maangamizi ya giza.

• Inaacha maswali makubwa kuhusu maisha ya Elimina, afya ya mtoto, na pigo lililotabiriwa.

NOTE: "My friend, never give up. Keep doing what you believe is right, because your thoughts hold the power to inspire and drive you forward. Trust your vision, stay consistent, and let your passion guide your steps. Every small effort today builds the success of tomorrow."

Shika sana ulicho nacho ni zawadi ya mungu uliyopewa but don’t forget to be honest in reading books to add new knowledge and skills as part and parcel in development of your mind ….kwisha vijana WA Arusha wanasema😜😜

Ni Mimi msomaji wako na mwandishi Wa vitabu na simulizi Daniel Emanuel Ngasa Kwa mawasiliano +255683227706

Asanteni sana na Mungu Wa mbinguni akubariki

Kusoma sehemu ya 28 bonyeza hapa

Hadithi  hii imendaliwa na kuandikwa na JACQUELINE JOHN.

Mtunzi wa Hadithi (simulizi) .

 Mawasiliano:

Whatsapno. >>>>> +255789523850. Normal >>>>>+255747313148.

                            &, 

Imehaririwa na MIGONGO ELIAS. Mhariri.

Mawasiliano:

Whatsapno. >>>>> +255767653697. Normal >>>>>+255617653697.

Tu follow kwenye.

Facebook page>>> Add Value Network.

                        GeT tO tHe NeXt LeVeL!

Kama umejifunza kitu shiriki nasi katika comment hapo chini, ili kuboresha na kujifunza zaidi.



Popular posts from this blog

UKIJUA HILI KUHUSU WATU UTAFANIKIWA SANA.

UCHAMBUZI WA KINA HATIMA YA KIMUNGU SEHEMU YA 27.

HATIMA YA KIMUNGU SEHEMU YA 31