HATIMA YA KIMUNGU SEHEMU YA 31
First let me thanks GOD for giving me a unique chance to pass through this chapter by starting down to describe and express my internal feelings and emotional ideas down here👇👇👇
🔍Kwa Uchambuzi wa Kina ,, “Hatima ya Kimungu Sehemu ya 27”
1. Nafasi ya Maombi Katika Mapambano ya Kiroho
Maombi ya Elimina yanapokea uzito mkubwa katika sehemu hii. Anaomba kwa imani na mamlaka, akituma moto na upanga kutoka mbinguni. Sauti yake inamfikia Elvine aliyepo mtini, ishara ya kuwa maombi ya dhati yanaweza kuvunja minyororo ya kiroho.
đź‘MESEJI; SIKU ZOTE IMANI , rafiki Yako , ndugu Yako ama mpenzi wako n.k inaweza kukutoa Kwenye jaribu usilo lijua kabisa
HOJA YA PILI
Mti wa Miujiza – Alama ya Njia ya Wokovu
Mtini alipo Elvine, ambao hapo awali haukuwa na tunda wala uhai, sasa umechanua maembe na kuonekana kuwa na mwanga wa kipekee. Huu ni mti wa nuruni, unaosimamia neema ya Mungu na njia ya wokovu kwa Elvine.
1 Wakorintho 10:13 Jaribu halikuwapata ninyi, isipokuwa lililo kawaida ya wanadamu; ila Mungu ni mwaminifu; ambaye hatawaacha mjaribiwe kupita mwezavyo; lakini pamoja na lile jaribu atafanya na mlango wa kutokea, ili mweze kustahimili.
HOJA YA TATU NA YA MWISHO Mgongano wa Ufalme wa Giza na Mwanga
Efraimu na Erijini, wakiwa sehemu ya himaya ya giza, wanapambana na kitu ambacho hakiwezi kueleweka kwa uchawi wao: mti wa nuru. Erijini anajaa hasira, akitesa mlinzi wa mazingira (nyoka), ambaye baadaye anageuka kuwa mtoto – ishara ya hatia kwa hila dhidi ya neema.
4. Mateso ya Elimina – Kipimo cha Uvumilivu
Sehemu ya pili ya simulizi inauma sana: Edgar, mjomba wa Elvine, anamgeukia Elimina, si tu kimwili bali pia kisaikolojia. Anampiga, anamfedhehesha na kumuacha na uchungu wa uzazi bila msaada wowote.
MASWALI binafsi nimejiuliza kuwa by MR DANIEL EMANUEL NGASA I JUST thinking twice by twice!!👇👇👇
Je, ni kwa nini Edgar anachukia kiasi hiki?
Kwa nini anaficha ukweli kuhusu Elvine?
Je, anahusiana vipi na nguvu za giza?
đź§ A LESSON AND GREAT FIGURES Katika Sehemu hii ni kuwa;
✅ Imani ya Kweli Huzaa Matunda
Mti wa miujiza umezaa maembe pale ambapo hapakutarajiwa, kama Elvine mwenyewe ambaye anaanza kuona mwanga baada ya giza refu la mateso.
✅ Uovu Hauna Huruma, Lakini Mungu Ana Mpango
HAKIKA HII KUWA
Edgar ni mfano wa uovu wa mwanadamu unaoshirikiana na nguvu za giza, lakini hata katika hilo, Mungu bado anaandaa njia ya wokovu kwa Elimina na mtoto wake.
✅ Maombi Yaweza Badili Hatima
Amini na Amini
Sauti ya Elimina ilimfikia Elvine alikokuwa; hii ni dalili kuwa nguvu ya maombi ni ya kweli na ya haraka sana, hata ikilinganishwa na nguvu ya kichawi.
Yeah a prayer is a greatest thing even to pass in difficult situation but if tie down to GOD YOU WILL BECOME A VICTORY
📌 i just imagine Kwenye chapter 28, 3 Questions
1. Je, Elvine ataweza kushuka kutoka kwenye mti wa miujiza na kurudi kwa Elimina?
2. Mungu atatuma msaada kwa Elimina wakati huu mgumu?
3. Je, mtoto aliyegeuka kutoka kwa nyoka ana nafasi gani kwenye simulizi hili?
5. Je, Erijini atakubali kushindwa au ataendelea na vita vya kiroho?
☝️☝️☝️
✍️ NOTE BENE:STILL BLESSED AND BE POSITIVE WHATEVER NOT THINK WHAT HAPPENED TO YOU
Ni Mimi msomaji wako DANIEL EMANUEL NGASA na mwandishi Wa vitabu na simulizi.
Kusoma sehemu ya 27 bonyeza hapa
Hadithi hii imendaliwa na kuandikwa na JACQUELINE JOHN.
Mtunzi wa Hadithi (simulizi) .
Mawasiliano:
Whatsapno. >>>>> +255789523850. Normal >>>>>+255747313148.
&,
Imehaririwa na MIGONGO ELIAS. Mhariri.
Mawasiliano:
Whatsapno. >>>>> +255767653697. Normal >>>>>+255617653697.
Tu follow kwenye.
Facebook page>>> Add Value Network.
GeT tO tHe NeXt LeVeL!
Kama umejifunza kitu shiriki nasi katika comment hapo chini, ili kuboresha na kujifunza zaidi.