MAAJABU YA AKIBA

*THINK DIFFERENT" (FIKIRI TOFAUTI)* .
Ilikuwa kampeni kali na ya kuvutia iliyozinduliwa na Apple Computer ( Apple ) mnamo 1997.
Kama ulikuwa umezaliwa tupungiane🫷
Ilidumu kwa miaka kadhaa na bado inachukua hatamu katika historia ya uuzaji na utangazaji.
Think Different" ilikuwa na mafanikio makubwa.
Ilisaidia Apple kujionyesha kama chapa kwa ajili ya watu wenye *UBUNIFU,* na wanaofikiri tofauti. kampuni iliyounga mkono ubunifu na kutofuatana na desturi za kawaida.
Kampeni hiyo haikuzidisha mauzo tu bali pia ili kuza picha ya Apple kama chapa nzuri na inayotamaniwa na wengi.
Hata wewe ni shahidi tukizungumza kuhusu, apple na huduma zake.
" *Think Different"* ni zaidi ya maneno tu; ni *FALSAFA.* kali.
"Ni kuhusu umuhimu wa
kufikiri bila kutegemea Mwawzo ya wengine, kupinga hali ilivyo, na kuamini kuwa watu binafsi wanaweza kuleta mabadiliko makubwa sana duniani."
Rudia kusoma tena.
Ndugu, kufikiri tofauti ni chanzo cha mabadiliko makubwa hapa duniani.
Pengine upo ulipo sasa, jinsi ulivyo, kipato unachokipata, matokeo unayoyapata ni kwa sababu ya *UNAVYO FIKIRI.*
Niyo kwasababu ya fikira zako.
Kama tunavyofahamu Kuna mawazo fulani fulani ulikuwa nayo ndiyo yalikufikisha ulipo.
Hautaenda unakotaka kwenda, kwasababu ya vile ulivyofanya, bali ni vile utakavyofanya. Yaani, fikira tofauti kabisaa.
Tafadhali soma tena.
Ndiyo maana bwana Enstern aliwahi kusema, "hauwezi kupata matokeo unayoyataka kwa fikira zilezile zilizo kufanya upate matokeo hayo."
Ndugu utahitaji fikira tofauti.
Tuna pata fikira tofauti kwa kufanya mambo Kama
1. *Kujifunza vitu vipya*
Moja ya tofauti kubwa ya watu waliofanikiwa na watu wa kawaida ni kwamba, watu waliofanikiwa *wanatabia ya kujifunza bila kukoma*
Yes kujifunza.
Sasa wanajifunza nini na wanajifunzaje?
Simple, Wanajifunza vitu vipya kuhusu vitu, walivyovichagua, wanavyovipenda, mhimu kwao n.k.
Na wanafanya hivyo kwa;
1. kusoma vitabu, yaani kujisomea.
2. Kuhuzuria seminar, mara ya mwisho kwenda seminar unakumbuka Ilikuwa lini? Na ulifata nini?
Hudhuria seminar hadi uone matokeo unayo yataka yameanza kuja.
3. Kuangalia video za maana na kusikiliza mafundisho kuntu.
Hii ni moja ya njia muhimu kati ya nyingi zitakazo kufanya ujifunze kila siku na kufikiri tofauti.
Ukweli ni kwamba zipo njia nyingi sana, ambazo ningependa ujifunze na wewe.
Muda ni mchache kuyaelezea yote haya.
Lakini kama utataka kujifunza njia nyingine kibao. Naweza kikusaidia.
Kupata hizo bonyeza Link hapo chini.
Migongo Elias.
Add Value Network.
GeT tO tHe NeXt LeVeL.
+255767653697.
Comments by IntenseDebate
Posting anonymously.