Posts

KAMA UNASAHAU MARA KWA MARA, SOMA HAPA KWANZA.

Image
  KAMA UNASAHAU MARA KWA MARA, SOMA HAPA KWANZA. Boss! Siyo  kila mara, kusahau ni ishara ya Ubongo dhaifu, mara nyingi ni namna tunavyojifunza ndugu. Nimekutana na watu wengi wakisema: "Mimi sina akili kubwa." Wengine "Kumbukumbu yangu ni mbaya." Mara "Ubongo wangu hauhifadhi vitu." Lakini ukweli ni kwamba, mara nyingi tatizo si ukubwa wa akili yako wala uwezo wa ubongo wako. Tatizo ni kwamba watu wengi hawajawahi kufundishwa jinsi kumbukumbu (memory) inavyofanya kazi boss. Sikia ndugu; Ubongo wa binadamu umeumbwa kwa ustadi mkubwa. Kazi yake si kuhifadhi kila kitu unachokiona au kukisikia, bali ni kuchagua filtering taarifa muhimu na kuacha zisizo muhimu wala matumizi. Kwa hiyo, kusahau si kasoro ya ubongo ni sehemu ya kawaida ya jinsi unavyofanya kazi. Hebu tuangalie sababu kuu zinazowafanya watu kusahau mara kwa mara. 1. Kukariri Bila Kuelewa (memorising without understanding). Hili ndilo kosa kubwa zaidi ambalo wanafunzi na hata watu wazima...

SABABU ZA KUWEPO KWA MASIKINI WENGI KULIKO MATAJIRI;

TAMBUA KUWA ; Watu wengi sana wana malengo na wanatamani kuwa na mafanikio makubwa sana kuwahi kutokea hapa duniani yaani ukimuuliza mtu yeyote hata mtoto atakwambia ana ndoto ya kuwa dokta,mwalimu,nesi n.k wengine ma bilionea,  yani kiufupi hakuna asiyependa kufanikiwa sijaona kwakweli. Ingawa watu wote hutamani mafanikio makubwa sana swali moja limekuwa likinitesa na nimekuwa nikijiuliza kuwa kwanini kuna masikini wa kutosha kuliko hata matajiri na watu maarufu hapa dunian?. swali Hili ndilo ambalo limenifanya niandike Makala hii .na Makala hii itakwenda kulijibu swali hili vizuri kabisa  hivyo kaa kwa kutulia nikupatie madude. SABABU ZA KUWEPO KWA MASIKINI WENGI KULIKO MATAJIRI; Rafiki zipo sababu kede wa kede zinazo watofautisha masikini na matajiri hapa duniani lakin utofauti wao mkubwa unakuja kwenye tabia zao ndiyo maana Mwandishi wa vitabu, mkufunzi wa mambo ya Uongozi na mfanyabishara, Mike Murdock aliwahi kusema “Siri ya mafanikio yako imefichwa katika tabia zako za ...

TUMIA NJIA HII KUPATA PESA KWA URAHISI ZAIDI

PESA HAITAFUTWI TUMIA NJIA HII KUPATA PESA KWA URAHISI ZAIDI Mtu mmoja alikuwa na mpango wa kufuga nyuki pamoja na vipepeo. Aliamua kutengeneza sehemu ya kuwahifadhi,yaani mabanda hivyo, aliweka mkakakati wa kuwakamata   nyuki na vipepeo.Alitumia njia ya kuwafukuza na kukamata mmoja baada ya mwingine.Alijua zoezi litakuwa jepesi sana lakini kiuhalisia mambo yalimwendea kinyume kabisa na matarajio yake.Kwasababu ilikuwa vigumu kuliko kawaida hasa pale ilipokuja suala zima la kukamata nyuki aliambulia kukamata wachache sana na wengi wao waliishia   kumuuma na kusepa zao kabisa.Kwasababu usalama ulikuwa ni sifuri yaani oo. Bwana mmoja akiwa anapita njiani alimwona huyo mtu mzima akifukuzia wadudu wadogo kama hao alishangaa sana.lakini uzalendo ulimshinda akaamua kumhoji kwanini anafanya hivyo kitu gani kimemusukuma kuwafukuzia hao wadudu alijibu akasema nina kamata vipepeo kwaajili ya kuchavusha mimea yangu   nitakayo ipanda mana hawa ni wazuri sana wa kupandikiza  ...

Popular posts from this blog

UKIJUA HILI KUHUSU WATU UTAFANIKIWA SANA.

UCHAMBUZI WA KINA HATIMA YA KIMUNGU SEHEMU YA 27.

LEVEL ZA MAFANIKIO SEHEMU YA KWANZA.